Rais Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika kaburi la hayati Rais Abeid Amani Karume.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume baada ya Dua katika Ofisi Kuu za CCM Kisiwandui Zanzibar leo Aprili 7, 2021 katika Siku ya Kumbukumbu ya Karume